Yanga leo inashuka dimbani katika uwanja wa taifa jijini Dar es salaam kuwakabili kagera Sugar katika mchezo wa mzunguko wa 28 huku ikitofautiana kwa alama 3 na wapinzani wao Simba SC.
Hata hivyo Simba wao wapo mbele kwa mchezo mmoja huku yanga wakisaliwa na michezo miwili.
Kuelekea mchezo huo, Huu ndio Msimamo wa ligi kuu vodacom Tanzania Bara

Comments
Post a Comment