Arsenal imefanya usajili wake wa kwanza kwa msimu huu kwa kumsajili Saed Kolasinac kutoka Shalke04 ya ujerumani.
Kolasinac ni mchezaji kutoka nchi ya Bosnia, anayeweza kucheza nafasi zaidi ya moja japokuwa amezoea zaidi kucheza nafasi ya beki wa kushoto.
Kolasinac mwenye umri wa miaka 23 anajiunga na Arsenal akiwa ni mchezaji aliyeachiwa huru na miamba hiyo ya Bundersliga.
Kabla ya kuhamia Shakle04, mlinzi huyo aliitumikia timu ya vijana ya Hoffenhem na VfB Stuttgart alisajiliwa na Shalke 2011 na kuitumikia timu ya vijana kabla ya kuanza kuitumikia timu kubwa mwaka 2012.

Comments
Post a Comment