Kamati ya uendeshaji wa ligi kuu Tanzania jana iliidhinisha kuwepa point 3 kwa klabu ya Simba baada ya kujiridhisha kujiridhisha
kuwa kulikuwa na uvunjifu wa sheria za TFF katika mchezo wa Simba dhidi ya Kagera kwa timu ya Kagera kumchezesha Mohamed Fakhi aliyekuwa na kadi 3 za njano.
Akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari, Mwenyekiti wa bodi hiyo Bw. Ahmed Yahaya amewaambia waandishi kuwa kamati imefanya kazi kwa muda wote tangu Simba ilipowasilisha malalamiko hayo na kubaini ukweli kuwa timu ya Kagera Sugar ilimtumia mchezaji huyo (Fakhi) katika mchezo NAMBA 194 angali alikuwa tayari anakadi 3 za njano.
Kwa mujibu wa sheria za shirikisho la mpira wa miguu Tanzania TFF, Mchezaji akionywa kwa kadi ya njano mara 3, atalazimika kuukosa mchezo unaofuata baada ya mchezo ambao alionywa kwa mara hiyo ya 3.
Mbali na point 3, Simba pia wamepewa idadi ya magoli 3

Mwenyekiti
wa Bodi ya Ligi, Ahmed Yahya (kushoto) akizungumza na Waandishi wa
Habari, Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi wa
Bodi, Boniphace Wambura
Comments
Post a Comment