Star aliyestaafu kucheza American football na aliyeshiriki ligi ya NFL Todd Heap mwenye miaka 37amemuua binti yake wa miaka 3 kwa kumgonga na gari.
Heap alisababisha mauaji hayo wakati anasogeza gari lake, ndipo alipompushi binti yake huyo aliyekuwa anaendesha baiskel nje ya nyumba yao hukohuko Mesa, Arizona.
Baada ya ajali hiyo mtoto aliwahishwa hospitali ambako ndipo umauti ulimfika.
Kwa mujibu wa Police Wa Arizona, Heap hakuonekana kuwa mwenye majonzi na police wanaendelea na uchunguzi zaidi.
Hats hivyo timu yake ya zamani Ravens wamesema no maumivu yasiyoelezeka wanayoyapata familia ya Heap na mkewe Ashley.
Todd Heap amezaliwa Mesa Arizona na alianza kuichezea timu ya chuo ya Arizona state university kabla ya kuanza kuichezea Baltimore Ravens na Arizona cardinals zinazoshiriki ligi kuu ya NFL kuanzia 2001 na amestaafu 2012
Kifo hicho kinamuacha Heap na watoto 4 kati ya watoto 5 aliozaa na mke wake Ashley Heap.

Comments
Post a Comment