Mkongwe wa Ureno na mlinzi wa Cagliari Bruno Alves mwenye umri wa miaka
35 yupo mjini Glasgow Scotland kwaajili ya kutia saini na klabu ya
Rangers.
Bruno ameichezea Ureno jumla ya mechi 89, aliyekuwepo pia kwenye kikosi cha Ureno kilichobeba kombe la mataifa Ulaya na anatarajiwa kusaini mkataba wa miaka 2.
Kwamujibu wa BBC, Kocha wa Rangers Pedro Caixinha amezungumzia malengo yake na kusema kuwa anahitaji kuimarisha kikosi zaidi kwaajili ya msimu ujao
"Tunahitaji kuwa na timu yakiushindani zaidi na itakayowafurahisha mashabiki na kujenga historia ya klabu: alisema
TUFUATILIE KUPITIA FACEBOOK NA TWITTER
Bofya hapa chini ku-like ukurasa wetu wa facebook
https://www.facebook.com/RadaYetuSports/
Bofya hapa kutufuatilia kupitia twitter
https://twitter.com/RadaYetu

Comments
Post a Comment