Ofa ya Villareal ya Paundi Mil.12.2 imekubaliwa na klabu ya Manchester City kufuatia uhamisho wa mshambuliaji wao Enes Unal.
Ripoti zinasema kuwa Unal mwenye umri wa miaka 20 anatarajiwa kuwa na mazungumzo ya binafsi juu ya uhamisho huo na klabu hiyo ya Hispania huku maswala yote yahusuyo ada ya uhamisho yakiwa sawa baina ya timu hizo mbili.
Enes Unal alisajiliwa na Manchester City akitokea Bursaspor ya Uturuki mwaka 2015 lakini tangu kuwasili kwake Etihad amekuwa akitolewa kwa mkopo na miamba hiyo ya Manchester.
Mturuki huyo alitolewa kwa mkopo katika timu tatu tofauti ikiwemo KRC Genk ya Ubelgiji anakokipiga Mtanzania Mbwana Samatta, pamoja na NAC Breda na FC Twente zote za Uholanzi.
Hata hivyo mchezaji huyo anaweza kurejea Man City muda wowote kufuatia makubaliano ya kwenye mkataba klabu zote mbili kuwa, Manchester City wanaweza kumuhitaji tena kutoka Villareal na watalipa kiasi cha Paundi Mil.17
TUFUATILIE KUPITIA FACEBOOK NA TWITTER
Bofya hapa chini ku-like ukurasa wetu wa facebook
https://www.facebook.com/RadaYetuSports/
Bofya hapa kutufuatilia kupitia twitter
https://twitter.com/RadaYetu

Comments
Post a Comment