Pierre-Emerick Aubameyang amekubali kujiunga na PSG akitokea Borrusia Dortmund kwa dau linalotajwa kufikia Paundi Milioni 61.
Aubameyang alihusishwa kutakwa na timu kubwa za Uingereza zikiwemo Chelsea, Manchester United, Manchester City na Liverpool lakini ameamua kujiunga na miamba hiyo uya Ufaransa.
Hali ya klabu ya Dortmund kwasasa sio tulivu kufuatia jana kutimuliwa kwa kocha Thomas Tuchel kufuatia kushindwa kuipa mafanikio klabu hiyo.
Katika uhamisho huu, Pierre atakuwa anapokea kiasi cha paundi mil 8.75 kwa mwaka huku kukidaiwa kuwa atapokea ziada (bonus) ya paundi mil.5kufuatia kukamilika kwa uhamisho huo.
Aubameyang amefunga jumla ya magoli 40 katika mechi zote alizoichezea Dortmund msimu huu uliomalizika, 31 yakiwa ni magoli ya ligi pekee yaliyo
Habari hizi zimekuja iliwa ni siku kadhaa baada ya staa huyo wa Gabon kwenye miaka 27 kuripotiwa kudai auzwe na Dortmund
TUFUATILIE KUPITIA FACEBOOK NA TWITTER
Bofya hapa chini ku-like ukurasa wetu wa facebook
https://www.facebook.com/RadaYetuSports/
Bofya hapa kutufuatilia kupitia twitter
https://twitter.com/RadaYetu

Pierre Emerick Aubemayanga akishangilia moja ya magoli aliyofunga akiwa na Borrussia Dortmund |
TUFUATILIE KUPITIA FACEBOOK NA TWITTER
Bofya hapa chini ku-like ukurasa wetu wa facebook
https://www.facebook.com/RadaYetuSports/
Bofya hapa kutufuatilia kupitia twitter
https://twitter.com/RadaYetu
Comments
Post a Comment