Mshambuliaji raia wa Ufaransa Anthony Martial amevunja ukimya juu ya uvumi uliozagaa kuwa ameitaka Manchester United kumruhusu aondoke.
Hali hiyo imekuja kufuatia taarifa zilizozagaa kuwa Martial amedai kutaka kuondoka na amewasilisha maombi yake kwa timu yake hiyo.
Martial mwenyewe ameamua kufunguka kupitia ukurasa wake wa twitter kuwa habari hizo si za kweli. Martial ameposti maneno machache kwa lugha ya kifaransa yaliyosomeka "fununu ni za uongo" (Les rumeurs sont fausses)

Comments
Post a Comment