Mchezaji wa Chelsea Betrand Traore amekamilisha usajili wa kujiunga na klabu ya Olympic Lyonkwa ada inayotajwa kufikia paundi milioni 17.5
Traore ameivutia Lyon alipokuwa Ajax kwa mkopo kwa msimu wote ulioisha huku akuonyesha kuwango cha juu, ikiwemo katika mchezo wa nusu fainali ya Ligi ya Europa dhidi ya waajiri wake wapya (Lyon) ambapo aliwafunga magoli mawili.
Lyon inaanza kujiimarisha katika safu ya ushambuliaji kufuatia Alexandre Lacazette ambaye ndiye mshambuliaji wao tegemeo kutarajiwa kuondika klabuni hapo katika dirisha hili la usajili.

Comments
Post a Comment