Everton imekamilisha usajili wa mshambuliaji Henry Onyekuru kutoka KAS Eupen ya Ubelgiji kwa ada ya paundi milioni 7.
Onyekuru alionyesha kiwango cha kuridhisha msimu uliopita kwa kuifungia Eupen magoli 22 katika michezo 38 aliyoshuka dimbani.
Kabla ya kukamilisha usajili huu mchezaji huyu alikuwa akiwaniwa na vilabu vingine vikubwa vikiwemo Arsenal na West Ham.
Hata hivyo Mnigeria huyo mwenye umri wa miaka 20 sasa, hatoitumikia Everton kwa kipindi hiki kwani ametolewa kwa mkopo kwenda Anderlecht ya Pro League ambayo ndiyo ligi aliyokuwa akicheza akiwa na Eupen.

Comments
Post a Comment