Klabu ya Huddersfield town imekamilisha usajili wake wa kwanza kwa kumnasa mshambuliaji Laurent Depoitre.
Depoitre anajiunga na Huddersfield iliyokuwa ikishiriki championship na kufanikiwa kupanda daraja hivyo watashiriki ligi kuu ya EPL msimu ujao.
Mshambuliaji huyo mwenye miaka 28 ametokea FC Porto ya Ureno alikoitumikia kwa msimu mmoja tu.
Hata hivyo uongozi wa Huddersfield haujaweka wazi ada ya usajili huo ila wamesema kuwa usajili huo umevunja rekodi ya usajili wa gharama kwa klabu hiyo.

Comments
Post a Comment