Kwa mujibu wa gazeti la Ubelgiji HLN mlinda lango wa Newcastle United Matz Sels amekamilisha zoezi la kufanyiwa vipimo katika klabu ya Anderlecht tayari kwaajili ya kujiunga na miamba hiyo kwa mkopo.
Inaelezwa kuwa kipa huyo atakuwa analipwa paundi milioni 25,000 kwa wiki katika kipindi chote atakachokuwa anaitumikia klabu hiyo.
Sels (25) ambaye ni Mbelgiji anarejea katika ardhi yake ya nyumbani ikiwa alishaitumikia klabu ya Gent kabla ya kununuliwa na Newcastle.
Kocha wa Newcastle Rafael Benitez anampango wa kufanya maboresho katika kikosi chake baada ya kupanda ligi kuu ndio maana anapunguza baadhi ya wachezaji ili kutunisha mfuko na kuongeza wachezaji wapya.
Tayari Newcastle inafukuzia sign ya Willy Caballero aliyeachiwa huru na Man City, pamoja na Pepe Reina aliyewahi kufanya kazi na Benitez wakiwa Liverpool.

Comments
Post a Comment