Klabu ya Eintracht Frankfurt ya ujerumani imekamilisha usajili wa kinda wa Cameroon Nelson Mandela.
Mandela mwenye miaka 18 anajiunga na klabu hiyo akitoka Hoffenheim na hapo awali alianzia Barcelona kabla kuja Ujerumani akiwa na umri wa miaka 13 huku akitajwa kuwa mchezaji 'lulu' kwa hapo baadae kutokana na uwezo wake.
Kinda huyo amejizolea umaarufu makubwa kutokana na kushea jina na Rais wa zamani wa Afrika Kusini na shujaa wa taifa hilo aliyeingoza nchi hiyo kupiga ubaguzi wa rangi dhidi ya watu weusi.

Comments
Post a Comment