Skip to main content

Ratiba ya Premier League kwa klabu ya Chelsea, Msimu wa 2017/2018 imetoka

Ratiba ya mabingwa wa Ligi kuu ya Uingereza 2016/2017 klabu ya Chelsea imetoka rasmi huku vijana hao wa Conte wakitarajiwa kufungua dimba na timu ya Barnley.
Katika ratiba hiyo, Chelsea watakutana na mchezo mgumu mapema pale watakapokaribishwa White Hart Lane kuwakabili Tottenham katika mchezo wa pili.
The Blues watamalizia msimu kwa kusafiri kwenda katika dimba la Reebock Stadium kuwakabili vijana wa Rafa Benitez, Newcastle United ambayo imepanda daraja msimu huu, ikiwa ni wiki moja baada ya kuvaana na Liverpool.
RATIBA KAMILI HII HAPA:

TAREHEMUDA MECHI
12/08/2017 15:00 Chelsea v Burnley
19/08/2017 15:00 Tottenham Hotspur v Chelsea
26/08/2017 15:00 Chelsea v Everton
09/09/2017 15:00 Leicester City v Chelsea
16/09/2017 15:00 Chelsea v Arsenal
23/09/2017 15:00 Stoke City v Chelsea
30/09/2017 15:00 Chelsea v Manchester City
14/10/2017 15:00 Crystal Palace v Chelsea
21/10/2017 15:00 Chelsea v Watford
28/10/2017 15:00 Bournemouth v Chelsea
04/11/2017 15:00 Chelsea v Manchester United
18/11/2017 15:00 West Bromwich Albion v Chelsea
25/11/2017 15:00 Liverpool v Chelsea
29/11/2017 19:45 Chelsea v Swansea City
02/12/2017 15:00 Chelsea v Newcastle United
09/12/2017 15:00 West Ham United v Chelsea
12/12/2017 19:45 Huddersfield Town v Chelsea
16/12/2017 15:00 Chelsea v Southampton
23/12/2017 15:00 Everton v Chelsea
26/12/2017 15:00 Chelsea v Brighton and Hove Albion
30/12/2017 15:00 Chelsea v Stoke City
01/01/2018 15:00 Arsenal v Chelsea
13/01/2018 15:00 Chelsea v Leicester City
20/01/2018 15:00 Brighton and Hove Albion v Chelsea
31/01/2018 19:45 Chelsea v Bournemouth
03/02/2018 15:00 Watford v Chelsea
10/02/2018 15:00 Chelsea v West Bromwich Albion
24/02/2018 15:00 Manchester United v Chelsea
03/03/2018 15:00 Manchester City v Chelsea
10/03/2018 15:00 Chelsea v Crystal Palace
17/03/2018 15:00 Burnley v Chelsea
31/03/2018 15:00 Chelsea v Tottenham Hotspur
07/04/2018 15:00 Chelsea v West Ham United
14/04/2018 15:00 Southampton v Chelsea
21/04/2018 15:00 Chelsea v Huddersfield Town
28/04/2018 15:00 Swansea City v Chelsea
05/05/2018 15:00 Chelsea v Liverpool
13/05/2018 15:00 Newcastle United v Chelsea

Comments

Popular posts from this blog

Wajue Wafungaji bora wa EPL kwa kila timu inayoshiriki sasa

1. CHELSEA - Frank Lampard -147 Lampard ndiye anayeshikilia rekodi ya mfungaji bora wa Chelsea wa muda wote yaani tangu (Chelsea) ilipoanzishwa akitupia kambani magoli 211. Alisajiliwa akitokea West ham mwaka 2001 na kwa sasa ni moja kati ya mashujaa wa kubwa wa klabu ya Chelsea. Alifunga goli la kwanza la Premier League akiwa na Chelsea December 23, 2001. Goli la mwisho alilifunga 05 April 2014. 2. TOTTENHAM - Teddy Sheringham - 98 Teddy Sheringham anafahamika kama "Legend" wa Tottenham Hotspurs pamoja na kuvichezea vilabu takribani 10 vya nchini uingereza ikiwemo Manchester United na West ham United. Alisajiliwa na Tottenham akitokea Nottingham Forest mwaka 1992 na alisajiliwa na Man United 1997 kabla ya kurejea tena Tottenham 2001. Aliifungia Spurs goli la kwanza tar.02.september 1992 na la mwisho tar. 21 April 2003 kabla hajatimkia Portsmouth   3. MANCHESTER CITY - Sergio Aguero -120 Akiwa amesaliwa na magoli 10 tu kuwa mfungaji bora wa historia wa M...

ABDULRAHMAN MUSA MCHEZAJI BORA WA MWEZI LIGI KUU

Mshambuliaji Abdulrahman Musa wa JKT Ruvu ameibuka mchezaji bora wa Ligi Kuu ya Vodacom kwa mwezi April 2017 Katika kinyang'anyiro hicho Mussa amewapiku Jafar Salum wa Mtibwa Sugar na Zahoro Pazi wa Mbeya City. Si mara ya kwanza kwa Abdulrahman Mussa kupeba tuzo hii ya uchezaji bora wa mwezi. Katuika msimu wa 2015/2016 Mussa alitajwa tena kuwa mchezaji bora wa ligi kuu mwezi Mey 2016 huku akiwapiku wakali kama Donald Ngoma na Ali Nassoro ambapo alicheza michezo mitatu mwezi huo na kufunga magoli 4. Mchezaji wa JKT Ruvu, Abdulrahaman Mussa (kulia) akipambana na Mshambuliaji wa  Mtibwa Sugar, Mohamed Ibrahim

Chelsea Mabingwa Wapya EPL 2016/2017

Michy Batchuayi apeleka shangwe kwa wapenzi wa "The Blue". Alazimisha sherehe ianze mapema. Sasa kurejea Stamford Bridge, Watford wakiwapoke kwa makofi kama wafalme .  Chelsea wametawazwa rasmi kuwa mabingwa wapya wa Uingereza, England Premier League baada ya kujikusanyia pointi ambazo hakuna timu yoyote kwasasa inayoweza kuzifikia. Mbelgiji Michy Batchuay ndie aliyelazimisha Chelsea kupewa tiketi ya kuanza kusherekea ubingwa wao baada ya kuipatia chelsea bao pekee dk ya 82 akiteleza kumalizia pasi iliyoingizwa na  Cesar Azpilicueta katika mchezo ulioonekana kuwa mgumu sana. Batchuayi alitokea benji akichukua nafasi ya Pedro Rodriguez katika mabadiliko mawili ya utata yaliowashangaza mashabiki wa Chelsea ambapo Eden Hazard naye alitolewa na nafasi yake kuchukuliwa na Willian. Baada ya mabadiliko haya Chelsea walianza kushambuliwa lakini ukuta wao ukiongozwa na Cahil, Luiz na Azpilicueta uliweza kuimili vishindo vya wenyeji wao. Michy Batchuayi akifunga goli 1 na l...