Skip to main content

Ratiba ya Premier League kwa Machester United 2017/2018

Ratiba ya msimu ujao wa Premier League 2072018 kwa klabu ya Manchester United imetoka huku magwiji hao wa England wakitupa karata yao ya kwanza dhidi ya wagonga nyundo wa London West Ham.
Manchester United wataanza mchezo wao wa kwanza katika dimba lao la Old Traford wakiwakaribisha WestHam huku Derby ya jiji la Manchester itakayowakutanisha na Man City ikisogezwa hadi December 9 na utapigwa hapo hapo Old Traford.
Derby yao kuu dhidi ya Liverpool inatarajiwa kupigwa October 14 watakapokaribishwa katika dimba la Anfield.
Katika mchezo wa mwisho, Manchester wamepata bahati pia ya kumalizia katika uwanja wao wa nyumbani dhidi ya Watford.

Ratiba kamili hii hapa.

DATETIME MATCH
12/08/2017 15:00 Manchester United v West Ham United
19/08/2017 15:00 Swansea City v Manchester United
26/08/2017 15:00 Manchester United v Leicester City
09/09/2017 15:00 Stoke City v Manchester United
16/09/2017 15:00 Manchester United v Everton
23/09/2017 15:00 Southampton v Manchester United
30/09/2017 15:00 Manchester United v Crystal Palace
14/10/2017 15:00 Liverpool v Manchester United
21/10/2017 15:00 Huddersfield Town v Manchester United
28/10/2017 15:00 Manchester United v Tottenham
04/11/2017 15:00 Chelsea v Manchester United
18/11/2017 15:00 Manchester United v Newcastle United
25/11/2017 15:00 Manchester United v Brighton and Hove Albion
28/11/2017 19:45 Watford v Manchester United
02/12/2017 15:00 Arsenal v Manchester United
09/12/2017 15:00 Manchester United v Manchester City
12/12/2017 20:00 Manchester United v Bournemouth
16/12/2017 15:00 West Bromwich Albion v Manchester United
23/12/2017 15:00 Leicester City v Manchester United
26/12/2017 15:00 Manchester United v Burnley
30/12/2017 15:00 Manchester United v Southampton
01/01/2018 15:00 Everton v Manchester United
13/01/2018 15:00 Manchester United v Stoke City
20/01/2018 15:00 Burnley v Manchester United
31/01/2018 20:00 Tottenham v Manchester United
03/02/2018 15:00 Manchester United v Huddersfield Town
10/02/2018 15:00 Newcastle United v Manchester United
24/02/2018 15:00 Manchester United v Chelsea
03/03/2018 15:00 Crystal Palace v Manchester United
10/03/2018 15:00 Manchester United v Liverpool
17/03/2018 15:00 West Ham United v Manchester United
31/03/2018 15:00 Manchester United v Swansea City
07/04/2018 15:00 Manchester City v Manchester United
14/04/2018 15:00 Manchester United v West Bromwich Albion
21/04/2018 15:00 Bournemouth v Manchester United
28/04/2018 15:00 Manchester United v Arsenal
05/05/2018 15:00 Brighton and Hove Albion v Manchester United
13/05/2018 15:00 Manchester United v Watford

Comments

Popular posts from this blog

Wajue Wafungaji bora wa EPL kwa kila timu inayoshiriki sasa

1. CHELSEA - Frank Lampard -147 Lampard ndiye anayeshikilia rekodi ya mfungaji bora wa Chelsea wa muda wote yaani tangu (Chelsea) ilipoanzishwa akitupia kambani magoli 211. Alisajiliwa akitokea West ham mwaka 2001 na kwa sasa ni moja kati ya mashujaa wa kubwa wa klabu ya Chelsea. Alifunga goli la kwanza la Premier League akiwa na Chelsea December 23, 2001. Goli la mwisho alilifunga 05 April 2014. 2. TOTTENHAM - Teddy Sheringham - 98 Teddy Sheringham anafahamika kama "Legend" wa Tottenham Hotspurs pamoja na kuvichezea vilabu takribani 10 vya nchini uingereza ikiwemo Manchester United na West ham United. Alisajiliwa na Tottenham akitokea Nottingham Forest mwaka 1992 na alisajiliwa na Man United 1997 kabla ya kurejea tena Tottenham 2001. Aliifungia Spurs goli la kwanza tar.02.september 1992 na la mwisho tar. 21 April 2003 kabla hajatimkia Portsmouth   3. MANCHESTER CITY - Sergio Aguero -120 Akiwa amesaliwa na magoli 10 tu kuwa mfungaji bora wa historia wa M...

ABDULRAHMAN MUSA MCHEZAJI BORA WA MWEZI LIGI KUU

Mshambuliaji Abdulrahman Musa wa JKT Ruvu ameibuka mchezaji bora wa Ligi Kuu ya Vodacom kwa mwezi April 2017 Katika kinyang'anyiro hicho Mussa amewapiku Jafar Salum wa Mtibwa Sugar na Zahoro Pazi wa Mbeya City. Si mara ya kwanza kwa Abdulrahman Mussa kupeba tuzo hii ya uchezaji bora wa mwezi. Katuika msimu wa 2015/2016 Mussa alitajwa tena kuwa mchezaji bora wa ligi kuu mwezi Mey 2016 huku akiwapiku wakali kama Donald Ngoma na Ali Nassoro ambapo alicheza michezo mitatu mwezi huo na kufunga magoli 4. Mchezaji wa JKT Ruvu, Abdulrahaman Mussa (kulia) akipambana na Mshambuliaji wa  Mtibwa Sugar, Mohamed Ibrahim

Chelsea Mabingwa Wapya EPL 2016/2017

Michy Batchuayi apeleka shangwe kwa wapenzi wa "The Blue". Alazimisha sherehe ianze mapema. Sasa kurejea Stamford Bridge, Watford wakiwapoke kwa makofi kama wafalme .  Chelsea wametawazwa rasmi kuwa mabingwa wapya wa Uingereza, England Premier League baada ya kujikusanyia pointi ambazo hakuna timu yoyote kwasasa inayoweza kuzifikia. Mbelgiji Michy Batchuay ndie aliyelazimisha Chelsea kupewa tiketi ya kuanza kusherekea ubingwa wao baada ya kuipatia chelsea bao pekee dk ya 82 akiteleza kumalizia pasi iliyoingizwa na  Cesar Azpilicueta katika mchezo ulioonekana kuwa mgumu sana. Batchuayi alitokea benji akichukua nafasi ya Pedro Rodriguez katika mabadiliko mawili ya utata yaliowashangaza mashabiki wa Chelsea ambapo Eden Hazard naye alitolewa na nafasi yake kuchukuliwa na Willian. Baada ya mabadiliko haya Chelsea walianza kushambuliwa lakini ukuta wao ukiongozwa na Cahil, Luiz na Azpilicueta uliweza kuimili vishindo vya wenyeji wao. Michy Batchuayi akifunga goli 1 na l...