Klabu ya Liverpool imetoa ratiba ya timu itakazokutana nazo msimu ujao wa 2017/2018 unaotarajiwa kuanza tarehe 12, August 2017. Katika ratiba hiyo, Liverpool wataanza ugenini kuwavaa Watford huku mechi kubwa ya kwanza itawakutanisha na Arsenal mwezi huohuo wa August tarehe 26 ikifuatiwa na mechi dhidi ya Man City.
Katika mchezo wa mwisho ambapo ligi itakuwa ikimalizika hapo tarehe 13 May, Liverpool itamaliza na Brighton and Hove Albion waliopanda daraja msimu huu.
Liverpool inakabiliwa na michezo mingi zaidi kwa msimu ujao kutokana na kufuzu kushiriki michuano ya ligi kuu ya mabingwa Ulaya 2017/2018
Hii hapa ndiyo ratiba nzima kwa klabu ya Liverpool msimu 2017/2018
TAREHE MUDA MECHI
12/08/2017 15:00 Watford v Liverpool
19/08/2017 15:00 Liverpool v Crystal Palace
26/08/2017 15:00 Liverpool v Arsenal
09/09/2017 15:00 Manchester City v Liverpool
16/09/2017 15:00 Liverpool v Burnley
23/09/2017 15:00 Leicester City v Liverpool
30/09/2017 15:00 Newcastle United v Liverpool
14/10/2017 15:00 Liverpool v Manchester United
21/10/2017 15:00 Tottenham Hotspur v Liverpool
28/10/2017 15:00 Liverpool v Huddersfield Town
04/11/2017 15:00 West Ham United v Liverpool
18/11/2017 15:00 Liverpool v Southampton
25/11/2017 15:00 Liverpool v Chelsea
29/11/2017 20:00 Stoke City v Liverpool
02/12/2017 15:00 Brighton and Hove Albion v Liverpool
09/12/2017 15:00 Liverpool v Everton
13/12/2017 20:00 Liverpool v West Bromwich Albion
16/12/2017 15:00 Bournemouth v Liverpool
23/12/2017 15:00 Arsenal v Liverpool
26/12/2017 15:00 Liverpool v Swansea City
30/12/2017 15:00 Liverpool v Leicester City
01/01/2018 15:00 Burnley v Liverpool
13/01/2018 15:00 Liverpool v Manchester City
20/01/2018 15:00 Swansea City v Liverpool
30/01/2018 19:45 Huddersfield Town v Liverpool
03/02/2018 15:00 Liverpool v Tottenham Hotspur
10/02/2018 15:00 Southampton v Liverpool
24/02/2018 15:00 Liverpool v West Ham United
03/03/2018 15:00 Liverpool v Newcastle United
10/03/2018 15:00 Manchester United v Liverpool
17/03/2018 15:00 Liverpool v Watford
31/03/2018 15:00 Crystal Palace v Liverpool
07/04/2018 15:00 Everton v Liverpool
14/04/2018 15:00 Liverpool v Bournemouth
21/04/2018 15:00 West Bromwich Albion v Liverpool
28/04/2018 15:00 Liverpool v Stoke City
05/05/2018 15:00 Chelsea v Liverpool
13/05/2018 15:00 Liverpool v Brighton and Hove Albion
Comments
Post a Comment