AS Roma wapo njiani kukamilisha usajili wa beki wa Feyenoord Rick Karsdorp na tayari mchezaji huyo ametua nchini Italy kwaajili ya vipimo vya afya.
Roma kupitia ukurasa wao wa twitter, wamethibitisha taarifa za kuwasili kwa mchezaji huyo ambaye ameichezea Feyenoord mechi 101 pamoja na kuwa na umri mdogo wa miaka 22 tu.
Karsdorp atakuwa mchezaji wa 3 kusajiliwa baada ya kuwasili kwa Mmexico Hector Moreno kutoka PSV Eindhoven, na baadae Bruno Perez aliyetoka Torino.

Comments
Post a Comment