Kocha wa Preston North Simon Grayson anatajwa kuweza kuchukua mikoba ya David Moyes katika klabu ya Sunderland.
Sunderland ambayo ilishika nafasi ya 20 katika msimamo wa ligi kuu EPL na kushuka daraja, ilimtimua aliyekuwa kocha wa timu hiyo, David Moyes baada ya mwenendo huo mbovu.
Habari zinasema kuwa uongozi wa Sunderland upo katika mazungumzo ya kumpa kibarua kocha huyo mbali na Preston, ameshawahi pia kuzifundisha Leeds United, Huddlesfield Town na Blackpool.
Endapo Grayson atachaguliwa kuwa kocha wa Sunderland, kutaifanya timu hiyo kuwa imefundishwa na makocha 10 tofauti katika kipindi cha miaka 10, huku makocha wote hao hawajafikisha zaidi ya mechi 100 za ligi waliz0ifundisha timu hiyo.

Comments
Post a Comment