Barcelona wameamua kumrudisha tena Camp Nou, kiungo wao wa zamani Gerard Deulofeu akitokea klabu ya Everton.
Deulofeu ataigharimu Barcelona ada inayokadiriwa kufikia Euro milioni 12 ili kumrejesha kiungo huyo aliyekuwa na wakati mzuri alipokuwa AC Milan kwa mkopo msimu ulioisha.
Kiungo huyo wa Hispania mwenye umri wa miaka 23 sasa, alilelewa katika academy ya Barcelona na aliichezea Barcelona kwa mara ya kwanza mwaka 2011. Baada ya hapo Deulofeu alitolewa kwa mkopo katika tumu mbili kabla ya kuuzwa.
Kwanza kwenda Everton mwaka 2013 na mwaka uliofuata 2014 alienda Sevilla kabla ya Everton kumnunua moja kwa moja 2015 ambapo alidumu kwa miaka miwili.
Baada ya msimu mmoja na nusu Reebook Stadium, alitolewa kwa mkopo kwenda AC Milan January mwaka huu 2017 ambapo kiwango chake kimeifanya Barcelona kummezea tena mate.
NYINGINE MPYA:

Comments
Post a Comment