Anita alisajiliwa na Newcastle akitokea Ajax ya Uholanzi kwa ada ya Euro miliioni 8.5 mwaka 2012 na ameichezea Newcastle michezo 155 na kufunga magoli 3 tu.
Anita ambaye amesajiliwa bila dau lolote kufuatia kuachiwa huru na klabu hiyo inayonolewa na Rafa Benitez

Kocha wa Leeds Thomas Christiansen baada ya kukamilika kwa usajili wa mholanzi huyo alisema:
"Kila mtu anamfahamu Anita kama mchezaji mwenye kiwango cha hali ya juu na mwenye uwezo wa kucheza nafasi tofauti . Alichokifanya akiwa na Newcastle kuisaidia kupanda daraja ndicho tunachokitafuta kwake hapa Leeds. Tunafurahi kuwa naye hapa"
NYINGINE:Clichy asajiliwa na Istanbul Basaksehir ya Uturuki

Comments
Post a Comment