Olympic Lyon imekamilisha usajili wa kinda wa Real Madrid Mariano Diaz kwa ada iliyotajwa kufikia Euro milioni 8.
Mariano anajiunga na miamba hiyo ya Ufaransa huku akitajwa kuwa ni moja ya mikakati ya kuziba pengo litakaloachwa na Alexandre Lacazette.
Mariano aliyeichezea Madrid mechi 14 na kufunga magoli 5 na pasi za mwisho 2, anaungana katika nafasi ya ushambuliaji na Betrand Traore aliyesajiliwa na Lyon kutoka Chelsea.
NEWS:

Comments
Post a Comment