Staa wa Real Madrid na timu ya taifa ya Ureno kepler Lima Ferreira almaarufu Pepe amejiunga na miamba ya Uturiki Besiktas bure baada ya Madrid kumuachia huru mwishoni mwa msimu uliopita.
Pepe ameachiwa na madrid baada ya kutokuwa na wakati mzuri katika miezi ya karibuni baada yakuandamwa sana na majeruhi.
Pamoja na tetesi kuwa mreno huyo angejiunga na PSG, hali imekuwa sivyo na ametimkia Uturuki.
Pepe mwenye miaka 34 sasa ameitumikia Real Madrid kwa miaka 10 tangu aliposajiliwa mwaka 2007.
Wakati huohuo Madrid imekamilisha usajili wa beki Theo Fernandez kutoka Athletico Madrid na beki huyo anatajwa kuja kuziba pengo la Fabio Coentrao

Comments
Post a Comment