Aliyekuwa mlinda mlango wa Manchester City Willy Caballero amejiunga na klabu ya Chelsea kwa uhamisho ambao haujagarimu ada yoyote.
Caballero aliachiwa huru na Manchester City mapema baada ya kumaliza msimu wa EPL mwishoni mwa mwezi May na hivyo kumfanya mchezaji aliye huru kujiunga na klabu yoyote.
Kipa huyo mwenye miaka 35 sasa, amesajiliwa kama mlinzi wa akiba nyuma ya kipa namba 1 wa Chelsea Thibaut Courtois, baada ya The Blues kumuuza Asmir Begovic kwenda Bournemouth
Caballero alikuwa na wakati mgumu kupata namba ya kudumu katika kikosi cha Man City hata kabla ya ujio wa Pep Guardiola ambapo alinyimwa namba na Joe Hart na katika kipindi cha Giardiola pia amekuwa akusugua benji dhidi ya Claudio Bravo.
Kuachiwa huru kwa Cabalero kuliwahusisha pia wachezaji wengine wanne ambao waliachwa na kikosi hicho cha kocha Pep Guardiola

Comments
Post a Comment